Atletico Madrid yaibonda Bayern Munich UEFA
Michuano ya Kombe la Klabu Bingwa
barani Ulaya hatua ya nusu fainali imeendelea tena jana, Atletico Madrid
wakipata ushindi dhidi ya Bayern Munich katika dimba la Vicente.
Timu hizo zitarudiana tena wiki ijayo ikiwa ni mchezo wa mwisho kuweza kumpata mshindi atakayecheza hatua ya fainali ya michuano.

Maoni
Chapisha Maoni