D^Banj
Bosi wa lebel ya DB Records D’Banj amefunguka kuingia kwenye taasnia ya filamu Hollywood nchini Marekani,akiwa nchini Afrika Kusini pia ataonekana kwenye tamthilia ya Isidingo
D’Banj pia ameweka wazi kuwa mama yake amekuwa akimsukuma afunge ndoa, “Mama yangu anasema hajali kuhusu haya mafanikio, anadhani ndio yamenifanya nisiwe na mke.
D’Banj anatajwa kuwa miongoni mwa wasanii walioweza kuka kwenye game bila kuwa na watoto wa nje ya ndoa.

Maoni
Chapisha Maoni