![]() |
| Theo Walcot |
Wenger ameeleza kwamba mchezaji huyo wa zamani wa
Southampton anaweza kuonyeshwa mlango wa kutokea Emirates baada ya
kampeni za msimu huu
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Uingereza ameonesha nia ya kutaka kuwa nambari tisa wa kwanza wa Gunners lakini ameshinda kuleta ushawishi utakaompa namba kikosi cha kwaza 2015-16.
Kwa hali hiyo nafasi yake katika kikosi cha Roy Hodgson cha Euro 2016 ipo hatarini na inaeleweka kwamba mchezaji huyo ana jazba za kukosa fursa ya kutosha kucheza.

Maoni
Chapisha Maoni