Mwanamume aliyefariki ameteuliwa
kusimamia mechi ya soka nchini Nigeria ambayo itachezwa Jumapili,
mwandishi wa BBC anayefuatilia masuala ya soka Oluwashina Okeleji
anasema.
Hii ni licha ya kwamba Akinsanya alifariki tarehe 22 Januari 2016 wakati wa kufanywa kwa mtihani wa Fifa Cooper Test, ambao hutumiwa kuamua iwapo marefarii wanatosha kuendelea kusimamia mechi.
Aliteuliwa kusimamia mechi hiyo na mrengo wa Shirikisho la Soka la Nigeria (NFF) unaoongozwa na
Chris Giwa.

Maoni
Chapisha Maoni