MESSI
Unataka kumzuia Messi asifunge?
Mzuie asipige na mguu wake wa kushoto, unaweza kufanikiwa kwa asilimia 81%, kwa sababu asilimia 81 ya magoli yote aliyofunga amefunga na mguu wa kushoto – magoli 406,
wakati mguu wa kulia magoli 71,
na kichwa magoli 21.
Mipira ya adhabu ndogo – magoli 25
na penati 64.

Maoni
Chapisha Maoni