P Square waonyesha mapenzi kwa kaka yao Jude Okoye.
Peter Okoye naye aliandika kwneye insta yake “Happy Big Birthday to @judeengees ,a big brother, a big boss and the best manager…always there at da beginning till date, guiding and directing us, from nothing till we became something, from nobody till we became somebody, may God continue to protect you bro like we always say, you re the Psquare people don’t know, because you always work behind the stage have blast Blood”
Awali mwaka huu palikuwa na drama kubwa kati ya Peter na Paul kuhusu usimamizi wa kaka yao Jude na kundi la P Sqaure huku Peter akiponda uongozi mbovu wa Jude kwenye kundi hilo.
Maoni
Chapisha Maoni