RACHEL ROY NDIYE ANAETAJWA KUCHEPUKA NA RAPER JAY Z
Rachel Roy ambaye ni Ex wa Damon Dash
amekanusha kuwa yeye ndio “Becky aliyeimbwa na Beyoncé kwenye wimbo wa
“Sorry” kwenye album ya LEMONADE kwa kitendo cha kuchepuka na Jay Z.
Rachel alitajwa mapema kuwa yeye ndio Becky aliyeimbwa na Beyonce na kwamba kuna ushahidi alitoka na Jay Z

Maoni
Chapisha Maoni