RAPA LIL KIM APOTEZA MWONEKANO WAKE BAADA YA KUFANYIWA UPASUAJI
Rapa Lil Kim amepost selfie iliyoshtua watu kwenye mitandao baada ya
kumuona Lil Kim mwenye miaka 41 akiwa na muonekano wa mtoto wa miaka 17.
Wasanii kibao wameanza kuongelea muonekano wake huku wakiponda harakati zake alizofanya ndani ya miaka kumi kwa kubadilisha uso wake haswa kwenye pua na kidevu.
hizi hapa chini ni piha za kim katika ubora wake

Maoni
Chapisha Maoni