RAPER YG AWINDWA NA POLISI BAADA KUMDISI TRUMP
Rapa YG kutoka Compton ambaye alitoa diss track kwa mgombea urais
nchini Marekani ‘Donald Trump’ akiwa na msanii Nipsey Hussle amesema
anafuatiliwa na polisi sana kwa sasa.
Wimbo wa YG uliitwa “FDT (F**k Donald Trump)” na anasema “Polisi wameniuliza kama nimeweka wimbo huu kwenye album yangu,watazuia isiuzwe, pia wametaka mashairi ya album yangu yote”.
YG anajipanga kutoa album mpya ya Still Krazy .

Maoni
Chapisha Maoni