 |
| riek machar |
Kiongozi wa waasi nchini Sudan Kusini amewasili nchini humo tayari
kuchukua wadhifa wake wa makamu wa urais.Hatua hiyo inajiri baada ya
safari yake mjini Juba kuahirishwa mara kadhaa .Kundi lake linasema kuwa
kucheleweshwa kwake kunatokana na mipango ya serikali na kwamba
alipanga kurudi siku ya Jumatano.
Maoni
Chapisha Maoni