Wasanii wanne pekee walioshirikishwa kwenye album ya Beyonce ‘LEMONADE’.
Baada ya kutoka kwa album ya Beyonce
‘LEMONADE’ ambayo kwa sasa ipo kwenye mtandao wa TIDAL na usiku wa April
26 2016 itakuwa Itunes, haya ndio majina ya wasanii walioshirikishwa
kwenye album hii.
Mwimbaji The Weeknd
James Blake
Jack White
Album ina nyimbo 12, itasambazwa na TIDAL ambayo imesambaza album ya Rihanna ya ANTI na The Life of Pablo iliyosikilizwa na watu milioni 250 ndani ya siku 10.
Maoni
Chapisha Maoni