Cantona amlaumu Deschamps kwa ubaguzi
Mwakili wa kocha wa Ufaransa Didier
Deschamps amesema kuwa atamshtaki Eric Cantona kwa ksea kuwa kikosi
chake cha Euro 2016 kilichaguliwa kwa ubaguzi.
''Benzema ni mchezaji mzuri'', ''Ben Arfa pia ni mchezaji mzuri'',aliambia gazeti la the Guradian.Lakini Deschamps,ana jin la Kifaransa.
''Pengine ni yeye pekee nchini Ufaransa ambaye ana jina la Kifaransa''.Aliendelea kusema:''Ben Arfa pengine ndio mechezaji bora Ufaransa leo.lakini wana mizizi yao''.
Akizungumza na gazetin la michezo L'Equipe,wakili wa Deschamps ameyataja matamshi hayo kama yasio kubalika ,ya kumuharibia jina na kwamba mteja waki atakwenda mahakamani.


Maoni
Chapisha Maoni