Chuo cha St. Francis chawafukuza wanafunzi wote wa Udaktari
Chuo hicho kimefikia hatua hiyo baada ya kueleza sababu 5 kwanini wanafunzi hao hawatakiwi kuwapo chuoni baada ya saa kumi leo.
Nimeambatanisha na taarifa ya kufukuzwa kwa wanafunzi hao.
Share this:
Maoni
Chapisha Maoni