Mshambuliaji wa klabu ya Arsenal na
Uingereza Danny Welbeck hatocheza kwa miezi tisa baada ya kufanyiwa
upasuaji kutokana na jeraha la goti.
Klabu yake imesema kuwa ukaguzi uliofanywa umebaini kwamba aliumia vibaya na kwamba sio jeraha la hapo awali lililomfanya kukosa miezi saba ya msimu huu.

Maoni
Chapisha Maoni