Rapper kutoka mkoani Mbeya, Izzo Bizness amefunguka na kuzungumzia mpango wake wa kuachia albamu yake mpya ndani ya mwaka huu.

Akizungumza hivi karibuni, Izzo amesema albamu ni CV kwa msanii hivyo yupo kwenye maandalizi ya kuachia albamu mpya.
“Albamu ni kama CV kwenye muziki, kwa hiyo niwaambie tu official mashabiki wangu albamu ipo na inakuja na ni kali sana nimejipanga sana,” alisema Izzo.
Pia Izzo amewataka mashabiki wa muziki wake kusubiria wimb

Maoni
Chapisha Maoni