Lil Kim kataja nyimbo 5 alizopenda zaidi Notorious B.I.G.
Lil Kim anasema nyimbo hizo ni Warning, ‘Dead Wrong,
Who Shot Ya,
Hypnotize,
Kick in the Door,
na Somebody’s Gotta Die.
Nyimbo zote hizi zipo kwenye album mbili za BIG ambazo ni Life After Death, na moja akutoka Ready to Die, na moja kutoka kwenye ile album ya Born Again
Maoni
Chapisha Maoni