Mabeste na mchumba wake wa muda mrefu Lisa, wanatarajia kufunga ndoa August mwaka huu.
“Tarehe ya harusi ni tarehe 20 mwezi wa nane, kwenye mwezi wa nane ntakuwa nimekamilisha kila kitu, sijui nitakuwa mtu wa aina gani siku hiyo,” amesema Mabeste.
“Kwasababu huwa najaribu kuimagine baada ya lile tukio mtu unakuaje. Kwa upande mwingine naona nakua, hiyo ni stage kubwa sana kwangu na ni kitu ambacho nilikuwa siamini kama kuna siku ambayo na mimi nitakuja kuwa baba ambaye nimekamilika, nipo kwenye ndoa,” anasema Mabeste.
Wawili hao tayari wana mtoto mmoja wa kiume, Kendrick.

Maoni
Chapisha Maoni