Nchini Tanzania tumekuwa tukishuhudia maonyesho ya urembo, lakini
huko nchini India mamia ya ng’ombe na fahali walitembea kwenye jukwaa
mwishoni mwa juma katika mji uliopo kaskazini mwa India Rohtak katika
maonyesho ya aina yake ya urembo.

Hafla hiyo iliandaliwa na serikali ya eneo hilo kutoa mafunzo kuhusu aina tofauati za ng’ombe na haki za mifugo hao.
Mafahali walikaguliwa kwa uzito, sura na ukubwa wa pembe zao. Na ng’ombe walikaguliwa kutokana na uzuri wao na uwezo wao wa kutoa maziwa.

Zaidi ya ng’ombe 600 na fahali walishiriki na mmiliki ng’ombe aliyeshinda alijinyakuliwa zawadi ya dola 3,600.
Wakulima waliwasili na mifugo yao kutoka wilaya za jimbo la Haryana na waliona fahari wakati ngo’mbe na fahali wao walipotembea juu ya jukwaa.
Huku wengine wakitembea bila matataizo na kwa madaha wengine walibidi kusukumwa ili wamalize.

Maoni
Chapisha Maoni