Mtoto wa Michael Jackson kafanya hivi kwenye ulimi wake.
Paris amepost picha inayomuonyesha akiwa ametoboa ulimi na kuweka kipini ikiwa picha hii imeambatana na ujumbe unaosema “Almost like ring-toss. but with noodles and needles.”
Michael Jackson wakati wa uhai wake alikuwa akifanya mambo kama haya na yalifanya afuatiliwe sana na vyombo vya habari.
Maoni
Chapisha Maoni