Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Paul Scholes: Mourinho ndio dawa ya Man United

Paul Scholes: Mourinho ndio dawa ya Man United

Jose Mourinho atajifunza kutoka kwa uzoefu wa Louis van Gaal na kuimarisha mchezo wa klabu ya Manchester United iwapo atachaguliwa kuwa mkufunzi wa timu hiyo.

Mazungumzo ya kumleta Mourinho katika uwanja wa Old Trafford yameingia siku yake ya pili.
Van Gaal alifutwa kazi siku ya Jumatatu ,siku mbili tu baada ya kushinda kombe la FA.

''Mashabiki katika klabu ya Man United wanahitaji mchezo wa kufurahisha na nina hakika Mourinho atakuja na kuisadia Man United'',alisema aliyekuwa kiungo wa kati wa timu hiyo paul Scholes.

Van Gaal aliiongoza United hadi nafasi ya tano katika ligi ya Uingereza lakini alikosolewa kwa mchezo wake usio na mashambulizi huku timu hiyo ikifunga mabao 49 msimu huu.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Haya ndo makundi ya Wachaga na tabia zao

Haya ndo makundi ya Wachaga na tabia zao Wachaga wamegawanyika kama ifuatavyo, sio wote wajanja.  Wachaga hutokea maeneo tofauti ndani ya Mkoa wa Kilimanjaro na hua na tabia tofauti. Haya ni baadhi ya makundi ya wachaga na tabia zao. 1. WAROMBO; Hawa wajanja sana kibiashara/wezi pia. wanapenda dili za magendo. Ni walevi sana hupeleka wake zao vijijini wakileta kiburi mjini. Wanaume wa Rombo wanachunwa sana na wanawake wa Marangu na wanawaita “vishohia”.. Ukioa Mrombo ujue umeolea kijiji. 2. WAMARANGU; Ni wazuri sana wa sura na umbo, wanavutia. Lakini wanawachuna sana Warombo. Wanawake wa Marangu wana dharau sana na wanaume ni waoga kuliko wanawake. Mwanaume wa Marangu kupigwa na mkewe si jambo la ajabu. 3. WAKIBOSHO; wanafanana na Warombo lakini ni wavumilivu zaidi. Biashara kubwa wanayofanya ni ya kuchinja…

WILLOW SMITH AMWEKA MPENZI WAKE HADHARANI

WILLOW AMWEKA MPENZI WAKE HADHARANI KWA MARA YA KWANZA Mtoto wa mwigizaji Will Smith ,Willow Smith mwenye miaka 15 ameanza kuweka wazi maisha yake ya kimapenzi na ameonekana kwa mara ya kwanza na mpenzi wake huko kwenye visiwa vya Hawaii akiwa na familia yake. Willow ambaye ni balozi wa bidha za Chanel ameweka wazi kwa wazazi wake maisha yake ya mpenzi wake ili kuondoa ugomvi kati yake na baba yake kuhusu usiri wa mambo yake.

RONALDO APIGA MBILI, URENO YASONGA 16 BORA

RONALDO APIGA MBILI, URENO YASONGA 16 BORA HUNGARY (4-1-4-1):  Kiraly 5; Lang 5, Juhasz 5, Guzmics 6, Korhut 5; Gera 7 (Bese 46, 6); Lovrencsics 6.5 (Stieber 83), Elek 7, Pinter 7, Dzsudzsak 7.5; Szalai 7 (Nemeth 71, 5). Subs not used: Dibusz, Kadar,Fiola, Nagy, Bode, Kleinheisler, Nikolic, Priskin, Gulacsi. Goals : Gera 19, Dzsudzsak 46, 54 Booked: Juhasz, Gera, Guzmics, Dzsudzsak  Manager: Bernd Storck 7 PORTUGAL (4-4-2):  Patricio 5; Vieirinha 5, Pepe 6, R.Carvalho 5, Eliseu 5; Mario 7, W.Carvalho 6, Moutinho 5 (Sanches 46 min, 6), Gomes 5 (Quaresma 61, 7); Nani 7 (Danilo 81), Ronaldo 8. Subs not used: Lopes, Bruno Alves, Fonte, Guerreiro, Eder, Rafa, Cedric, Adrien Silva, Eduardo Goals:  Nani 42, Ronaldo 49, 61  Manager : Fernando Santos 7. Man of the match: Cristiano Ronaldo