picha za ndege kubwa zaidi Duniani iliyotua Australia
Maelfu
ya wakazi wa Australia walijitokeza kwa shauku kubwa kuitazama ndege
kubwa zaidi duniani ya Antonov An-225 Mriya iliyotua katika uwanja wa
ndege wa Perth, Australia jana Mei 15.
Ndege hiyo ina urefu wa mita 84, uzito wa tani 175 ikiwa haina mzigo wala mafuta ilikuwa ikisafirisha jenereta lenye tani 117.
Askari wa usalama barabarani siku ya jana walifunga barabara wakati ndege hiyo ikikaribia kutua.Hizi hapa chini ni picha 11 za ndege hiyo ikiwa angani na ilipotua jana Australia.
Maoni
Chapisha Maoni