Rais wa kwanza Mwanamke aapishwa Taiwan
Rais wa kwanza wa kike wa Taiwan,
ameapishwa Ijumaa katika sherehe zitakazofanyika katika mji mkuu wa
Taipei. Tsai In-wen, ambaye chama chake kinataka uhuru kutoka Uchina,
alishinda na idadi kubwa ya kura katika uchaguzi uliofanyika Februari
mwaka huu. Ushindi wake umepunguza uhusiano wa taifa hilo na utawala wa
Beijing.
Tsai anakabiliwa na changamoto za kiuchumi na kushuka kwa mapato yatokanayo na usafirishaji wa bidhaa nje.

Maoni
Chapisha Maoni