Everton imetangaza kumfukuza kazi kocha wake Roberto Martinez
Kocha Roberto Martinez baada ya kupata matokeo mabaya na
klabu hiyo ya Everton imetangaza kumfukuza kazi kocha wake huyo, Everton
hivi karibuni imekuwa na matokeo mabaya kabla ya kupoteza mchezo wao na
Sunderland kwa kukubali kipigo cha goli 3-0 katika michezo yake mitano
iliyopita ilikuwa imefungwa mechi tatu, sare mechi moja na ushindi mechi
moja.

Everton ambayo imebakiza mechi moja ili kumaliza msimu wa Ligi Kuu Uingereza, ipo nafasi ya 12 katika msimamo wa Ligi.

Games 143, Wins 61, Draws 39, Losses 43
Goals scored 227, Goals against 180
Win % – 42.7
Maoni
Chapisha Maoni