Sababu mbili kwanini Koffi Olomide hakuhudhuria mazishi ya Papa Wemba
Kikubwa kilichowashangaza watu wengi ni Mwanamuziki mwenzake Antoine Christophe Agbepa Mumba maarufu kama Koffi Olomide kutohudhuria mazishi ya Papa Wemba. Sasa imefahamika kuwa kuna sababu kuu mbili kwanini Koffi Olomide hakuonekana kwenye msiba wa Papa Wemba.
- Papa Wemba alishwahi kusema enzi za uhai wake kuwa akifariki Koffi Olomide asihudhurie mazishi yake. Inasemekana kuwa wasanii hawa hawakuwa na mahusiano mazuri. Itakumbukwa kuwa Papa Wemba alimsaidia sana Koffi Olomide kumkuza kimuziki wakati wakiwa wote katika bendi ya Viva La Music.
Source- Kivu Media
Maoni
Chapisha Maoni