Serikali yaivunja bodi ya Tume ya Vyuo Vikuu (TCU)
Pia,Waziri Ndalichako amewasimamisha kazi Maafisa kadhaa waandamizi wa TCU kwa kushindwa kusimamia na kutekeleza vyema wajibu wa TCU. Waziri Ndalichako amewateua Makaimu wa nafasi za waliosimamishwa kushikilia nyadhifa hizo.
Maoni
Chapisha Maoni