Si
vibaya kusema hutu dogo ni mkali. Stephen Curry amefanikiwa kubeba tuzo
ya mchezaji bora wa Ligi ya Mpira wa Kikapu Marekani (NBA).
Lakini
amefanikiwa kuwa MVP wa NBA akiweka rekodi ambayo haikuwahi kufikiwa na
magwiji maarufu zaidi katika mchezo huo na NBA kama Magic Johnson,
Michael Jordan na LeBron James.
Curry
ambaye ni mlinzi wa timu ya Golden State Warriors, amebeba jura zote
131 kupata ushindi huo, jambo ambalo halikuwahi kutokea hats kwa magwiji
hao.




Maoni
Chapisha Maoni