Studio za ubunifu za Kanye West zavamiwa.
Majambazi wamevamia studi za ubunifu za rapa Kanye West na kuiba vitu vyenye thamani ya dola $20,000. Ofisi hizi za Calabasas ndipo mahali Kanye anaweza mitindo yake mipya ya Yeezy fashion line na DONDA creative team.
Viliyoibiwa ni pamoja na computer na laptops, hakuna kazi mpya ya Kanye iliyoibiwa au kupotea mpaka sasa.
Kwenye album yake ya Life Of Pablo kupitia wimbo wa “Real Friends,” Kanye anaongelea binamu wake aliyemwibia laptop iliyokuwa na picha zake chafu na kwamba alimlipa ilikuipata> “I had a cousin that stole my laptop that I was fuckin’ bitches on,Paid that nia $250,000 just to get it from him,No More Parties in LA,Tell all my cousins I love ’em,Even the one that stole the laptop, you dirty motherfuer.”
Maoni
Chapisha Maoni