Tazama picha za ndege inayotumia umeme iliyozinduliwa leo Ujerumani
Ujerumani imezindua ndege aina ya Lilium ambayo inatumia umeme. Ndege hii ina siti mbili na imetengenezwa madhubuti kwa ajili ya matumizi binafsi. Ndege hii wakati wa kurua itapaa kuelekea juu hivyo haihitaji eneo kubwa la kurukia.
Ndege hii ina uwezo wa kwenda hadi spidi ya kilometa 400 kwa saa, kutumika
Watengenezaji wa ndege hii wamesema kuwa wanatarajia kuiingiza ndege hii sokoni mwaka 2018. Hapa chini ni picha za ndege hiyo.
Maoni
Chapisha Maoni