The Rock kurudi tena kwenye FAST & FURIOUS 8
Imethibitishwa kuwa The
Rock anarudi kwenye filamu ya ‘FAST & FURIOUS 8’ na kuendelea na
husika yake kama Hobbs ila mpaka sasa haijafahamika atafanya kitu gani
kwenye filamu hii mpya.
Johnson aka The Rock , 44,
alionekana mara ya kwanza kwenye “The Fast and the Furious” mwaka 2011
kwenye “Fast Five” na “Fast & Furious 6″na tena “Furious 7.”
Maoni
Chapisha Maoni