video ya Fetty Wap ‘Wake Up’ itazame hapa.
Hii video ya Fetty Wap “Wake Up.” inayoonyesha maisha ya kijana mdogo anavyokuwa na kutaka kufikia malengo yake kwneye maisha.
Fetty hivi karibuni alishinda tuzo ya msanii mpya mkali zaidi kwenye tuzo za Billboard Music Awards na ametajwa kuwania tuzo za BET kwenye kipengele cha Best Male Hip-Hop Artist mwaka 2016 BET.

Maoni
Chapisha Maoni