MSIMAMO WA EPL
Msimamo wa Ligi Kuu Uingereza ulivyo kwa sasa, timu zikiwa zimebakiza mchezo mmoja mmoja kwa sasa.
Sunderland walikuwa
nyumbani na walilazimika kupambana kufa na kupona na hatimae kupata
ushindi goli 3-0, ushindi ambao ulirejesha furaha kwa mashabiki wao kama
vile wametwaa Kombe la Ligi Kuu, baada ya ushindi huo sasa vilabu vya Newcastle United, Aston Villa na Norwich City ambao leo walipata ushindi wa goli 4-2 dhidi ya Watford wameshuka daraja.
Maoni
Chapisha Maoni