![]() |
| Angola ni moja ya nchi zilizotatizwa sana na homa ya manjano |
Wametoa wito kwa shirika la Afya duniani WHO kuchukua hatua za dharura kurekebisha hali hiyo.
Maprofesa wawili kutoka chuo kikuu cha Georgetown wanasema ugonjwa huo ambao umezuka nchini Angola na kuwaambukiza zaidi ya watu 2,000 huenda ukaenea katika mataifa mengine.

Maoni
Chapisha Maoni