Wataalamu wagundua mimea 2,000 mipya
![]() |
| Asilimia 20 ya mimea duniani imo hatarini |
Lakini watafiti kutoka taasisi ya Royal Botanic Gardens mjini London, wameonya asilimia 20 ya mimea yote duniani inakabiliwa na hatari ya kuangamia kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa, uharibifu wa mazingira na ugonjwa

Maoni
Chapisha Maoni