West Ham United wanahamia katika uwanja
mpya, mechi yao ya mwisho katika Uwanja wa Upton Park jijini London
ilikuwa usiku wa kuamkia leo na wakaitwanga Man United kwa mabao 3-2,
ilikuwa bonge la mechi.
West Ham United wanahamia katika uwanja
mpya, mechi yao ya mwisho katika Uwanja wa Upton Park jijini London
ilikuwa usiku wa kuamkia leo na wakaitwanga Man United kwa mabao 3-2,
ilikuwa bonge la mechi.
Attendance: 34,602.

Maoni
Chapisha Maoni