Dwyane Wade nusu utupu kwenye ESPN ‘Body Issue’
Dwyane amesema japo amekubali kupiga picha hizo za utata amekiri kuwa alikuwa anaogopa jinsi watu watakavyomchukulia.
Mastaa wengine walioshirikisha kwenye issue hiyo ni pamoja na Conor McGregor, Von Miller na Jake Arrieta.
Tazama picha hapo chini:
Maoni
Chapisha Maoni