Rais Magufuli ahudhuria maadhimisho ya miaka 50 ya Benki ya Kuu Tanzania
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akisalimiana na katibu Mkuu Wizara ya fedha na Mipango Dkt Servacius
Likwelile alipowasili kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya
Tanzania kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt
John Pombe Joseph Magufuli akisimama kwa ukakamavu wakati wimbo wa Taifa
ukipigwa akiwa na Mkuu Wizara ya fedha na Mipango Dkt Servacius
Likwelile, Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Profesa Benno Ndullu, na
Mkuu wa Mkoa wa Dar e3s salaam Mhe Paul Makonda kwenye maadhimisho ya
miaka 50 ya benki kuu ya Tanzania kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es
salaam leo Juni 22, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akibofya kitufe kuashiria uzi8nduzi rasmi wa maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya Tanzania kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo
Juni 22, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akizindua sarafu maalumu ya shilingi 50,000/- kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya Tanzania kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt
John Pombe Joseph Magufuli akizindua Kitabu kwenye maadhimisho ya miaka
50 ya benki kuu ya Tanzania kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam
leo Juni 22, 2016

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akatika picha ya pamoja na Magavana na Manaibu Magavana na menejimenti
ya BOT kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya Tanzania kwenye
ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa
na Bodi ya wkurugenzi wa BOT kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya benki
kuu ya Tanzania kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo Juni 22,
2016











Maoni
Chapisha Maoni