Video: Rihanna amwaga machozi kwenye show ya Dublin
Wimbo huo ulionekana kumgusa zaidi Rihanna hasa pale mashabiki waliohudhuria kwenye tamasha hilo walipokuwa wakimfuatisha Rihanna kwa kuimba naye pamoja.
Hivi karibuni Rihanna ameonekana kuwa mpweke kwenye mahusiano kutokana na muda mwingi kuonekana kuwa peke yake huku watu anaohusishwa kuwa na mahusiano nao ya kimapenzi wakionekana kula bata na warembo wengine.
Tazama video hapa.
Maoni
Chapisha Maoni