Young Dee alikua akitumia Dawa za kulevya?Kayasema yote hapa.
Mbele ya Waandishi wa habari,Young Dee amesema >’Young Dee mnayemuona sasa hivi sio yule wa zamani ambaye alikuwa akitrend kwenye mitandao ya kijamii kweli nilikuwa nikitumia madawa ya kulevya kwazaidi ya mwaka sasa, lakini ninachomshuuru mungu nikuwa siku fikia hali yampaka nipelekwe Rehab‘.
Maoni
Chapisha Maoni