Cash Money Records na kampuni ya Apple Music wamesha saini mkataba wa kufanya kazi pamoja na sasa imefahamika kuwa Apple watalipia gharama za kutayarisha documentary ya lebo hio.
Boss wa Cash Money ‘Birdman’ amesaini mkataba na Apple wakutengeneza Documentary tu na sio kusimamia kazi za muziki za lebo hio.
Apple italipia gharama za kutengenezwa kwa documentary ya lebo kubwa zaidi duniani iliyowahi kutoa wasanii wakubwa kama Lil Wayne, Drake, Nicki Minaj, Tyga na Lil Twist.

Maoni
Chapisha Maoni