Boateng atua Palmas,Gueye Everton
kiungo wa kimataifa wa Ghana Kevin Prince Boateng Amesajiliwa na Klabu ya Las Palmas ya nchini Hispania kwa mkataba wa Mwaka Mmoja
Nao Manyambizi wa Villarreal wamemsajili kiungo Roberto Soriano raia wa Itali kutoka klabu ya Sampdoria kwa mkataba wa miaka mitano.
Everton nao wamezidi kuimarisha kikosi chao chini ya kocha mpya Ronald Koeman, baada ya kumsajili kiungo Idrissa Gueye kwa mkataba wa miaka nne.
Ne beki wa kushoto wa Chelsean Abdull Rahman Baba amejiunga na Schalke 04 kwa mkopo wa muda mrefu mpaka mwisho wa msimu.
Maoni
Chapisha Maoni