Mshambuliaji wa Brazil Neymar da Silva Santos Júnior maarufu kama Neymar Jr amefunga goli la mapema kabisa katika historia ya mashindano ya Olimpiki akifunga katika sekunde ya 15 tu baada ya mchezo kuanza
Brazil imeifunga timu ya taifa ya Hondurus kwa mabao sita(6) kwa sufuri
Brazil sasa itakutana na Ujerumani katika mchezo wa fainali baada ujerumani kuifurumisha Nigeria kwa mabao mawili kwa sufuri
SWALI NI JE: Brazil italipa kisasi cha kufungwa magoli saba kwenye fainali za kombe dunia 2014?
Majibu ni katika uwanja wa Maracana Stadium jijini RIO DE JANEIRO

Maoni
Chapisha Maoni