Wasanii wa G Unit wamekuwa wakiripotiwa kuacha muziki baada ya kundi lao kusambaratika huku majaribia ya kurudi kwneye rap yakifeli kila mwaka.
Rapa Lloyd Banks ametangaza rasmi kuwa hajaacha muziki na kwamba anakuja na mixtape mpya iliyopewa jina All Or Nothing : Live It Up, iliyotayarishwa na DJ Drama ikiwa na wasanii kama Raekwon, Styles P, na Vado
Mixtape hii mpya ya Banks itakuwa yakwanza toka mwaka 2015 alipofanyaHalloween Havoc 2.

Maoni
Chapisha Maoni