Adele na mchumba wake Simon Konecki aliyedumu naye kwa miaka mitano kwenye mahusiano tayari wameshafunga ndoa.
Hilo limefahamika Jumapili hii wakati wa show ya muimbaji huyo iliyofanyika mjini Brisbane, Australia. Katika show hiyo Adele alithibitisha kuwa tayari ameshaolewa kwa kusema, “That feeling when you first fall for someone is the best feeling on earth.”
“And I am addicted to that feeling. Obviously, I can’t go through with those feelings because I’m married now. I’ve found my next person,” ameongeza.

Maoni
Chapisha Maoni