Mshambuliaji wa zamani wa Klabu ya
Chelsea ya England, Chris Sutton, amesema kocha wa Arsenal Arsene Wenger
ni mbinafsi kwa kuwa anaendelea kuwa kimya juu mustakabali wake wa
kuendelea kuinoa Arsenal
"Amekua akifeli katika nyakati za soko la usajili, fanya jambo sahihi kama huwezi tuambie huwezi ." ameeleza mchezaji huyo.


Maoni
Chapisha Maoni